WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Utangulizi
Idara ya Kiswahili na Lugha za Kiafrika ilianzishwa mwaka 1987 wakati Idara ya Isimu na Lugha za Kiafrika ilipogawanywa kuwa Idara tatu ambazo ni: Idara ya Kiswahili na Lugha za Kiafrika, Idara ya Lugha za Kigeni na Idara ya Kiingereza.

Mahali Ilipo
Idara hii ipo kwenye Barabara ya Makongamano (Conference Road), karibu na Idara ya Fasihi, Lugha na Isimu, ikiwa nyuma ya Kituo cha Biashara na mkabala na kanisa dogo la chuo kikuu.

Wahadhiri na Maeneo yao ya Utaalamu
Idara hii inao wahadhiri kumi na tisa (19) katika mabewa tofauti ya chuo hiki (Bewa Kuu, Mombasa na Nakuru).  Wahadhiri hawa wana ujuzi wa miaka mingi katika maeneo ya utaalamu kama vile:
 • Historia na Maendeleo ya Kiswahili
 • Mofolojia
 • Isimujamii
 • Sintaksia
 • Semantiki
 • Fasihi Simulizi
 • Toni katika Lugha za Kibantu
 • Maswala ya Jinsia katika Fasihi
 • Mbinu za Mawasiliano
 • Maswala ya Ulemavu katika Fasihi
 • Ushairi wa Kiswahili
 • Fasihi ya Watoto
 • Mabadiliko katika Lugha
 • Fasihi ya Kiafrika
 • Tafsiri ya Ukalimani
 • Fasihi Linganishi
 • Sanaa za Maigizo
 • Sarufi ya Kiswahili
 • Nadharia za Uchanganuzi wa Fasihi
 • Mbinu za Utafiti
 • Upataji wa lugha ya pili
 • Fonolojia
 

Upekee wa Idara Hii
Idara hii inatambulika kwa ukubwa wake tukizingatia idadi ya wanafunzi na ubora wa kozi zinazofundishwa.

Shahada ya Kwanza
Idara hii hufundisha wanafunzi wa shahada za B.A. na B.ED.  Wanafunzi hawa hutathminiwa kupitia kwa kazi ya darasani na mitihani.

Shahada ya Uzamili
Masomo ya Shahada ya Uzamili ya Kiswahili hudumu miaka miwili: ikiwa ni mihula mitatu ya kazi za darasani na muhula mmoja wa kuandika tasnifu au mihula miwili ya kazi za darasani na mihula miwili ya kuandika tasnifu.  Sasa hivi Idara ina zaidi ya wanafunzi 200 wa Shahada ya Uzamili.

Shahada  ya Uzamifu
Shahada ya Uzamifu katika Idara hii hutolewa kupitia kwa uandishi wa tasnifu.  Hivi karibuni, masomo ya darasani kwa ajili ya shahada hii yataanzishwa.  Mwanafunzi anaruhusiwa hadi miaka mitatu kukamilisha shahada hii.  Kuna zaidi ya wanafunzi kumi wa Shahada ya Uzamifu waliojisajili Idarani.

Nyenzo
Idara ina maktaba ndogo ambamo mnahifadhiwa vitabu, majarida na tasnifu za Kiswahili.  Tunawawezesha wanafunzi kutumia maabara ya lugha ya chuo katika tafiti zao za kiisimu.

Mfumo wa Masomo
Kuna mifumo mitatu ya masomo: (a) mfumo wa muda wote (b) mfumo wa masomo ya likizo (c) mfumo wa masomo huria. Mwanafunzi huchagua mfumo anaopendelea.

Kazi
Baada ya kufuzu, wanafunzi huajiriwa kama walimu, wahariri, watafiti, watawala, wanahabari, wafasiri, wakalimani au hata wanaweza kujiajiri.

SCHEDULE OF MEETINGS/SPECIAL EVENTS FOR 2017/2018 ACADEMIC YEAR

AUGUST 2017

DATE

DAY

TIME

FUNCTION

VENUE

3/8/17

Friday

9.00am

Departmental meeting

21A

22/8/17

Tuesday

9.00am

Departmental Examination Board

R21A

30/8/17

Wednesday

9.00am

Departmental Postgraduate Committee

R21A

 

SEPTEMBER 2017

DATE

DAY

TIME

FUNCTION

VENUE

4-15/9/17

 

Monday

Friday

7.00am

Registration of Continuing Students (Regular)

Graduation Square

21A

11/9/17

Monday

9.00am

Departmental Meeting

R21A

21/9/17

Thursday

9.00am

Departmental Postgraduate Committee

21A

26/9/17

Tuesday

9.00am

Postgraduate seminar

Graduate School

 

OCTOBER 2017

DATE

DAY

TIME

FUNCTION

VENUE

10/10/17

Tuesday

9.00am

Departmental Postgraduate Committee meeting

Graduate School

23/10/17

Monday

9.00am

Field course

R21A

27/10/17

Tuesday

9.00am

Departmental Postgraduate committee

21A


NOVEMBER 2017

DATE

DAY

TIME

FUNCTION

VENUE

9/11/17

Thursday

9.00am

Departmental Postgraduate Committee

21A

21/11/17

Tuesday

9.00 am

Defence meeting

 

Graduate School

27/11/17

Monday

9.00 am

Departmental Postgraduate Seminar

R21A

30/11/17

Thursday

9.00am

Departmental meeting

21A

 

DECEMBER 2017

DATE

DAY

TIME

FUNCTION

VENUE

4-15/12/17

Monday

Friday

7.00am

Registration of IBP students

Graduation Square

21A

14/12/17

Thursday

9.00am

Postgraduate Committee

21A

18/12/17

Monday

9.00am

Postgraduate seminar

Graduate School

20/12/17

Thursday

9.00am

Departmental Examination Board Meeting

21A


JANUARY 2018

DATE

DAY

TIME

FUNCTION

VENUE

3-12/1/18

Wednesday

Friday

7.00 am

Registration of New/Continuing Students (Regular)

 

Graduation Square

21A

15/1/18

Monday

9.00am

Departmental Meeting

R21A

30/1/18

Tuesday

9.00 am

Departmental Examination Board

R21A

 

MARCH 2018

DATE

DAY

TIME

FUNCTION

VENUE

6/3/18

Tuesday

9.00 am

Departmental Postgraduate  Committee

R21A

15/3/18

Thursday

9.00am

Departmental Examination Board

R21A

29/3/18

Thursday

9.00am

Postgraduate Committee

Graduate School

 

APRIL 2018

DATE

DAY

TIME

FUNCTION

VENUE

3-13/4/18

Tuesday

Friday

7.00am

Registration of IBP Students

21A

11/4/18

Wednesday

9.00am

Departmental meeting

21A

25/4/18

Wednesday

9.00am

Departmental Postgraduate Committee meeting

R21A

 

MAY 2018

DATE

DAY

TIME

FUNCTION

VENUE

2-18/5/18

Wednesday

Friday

7.00am

Registration of New/Continuing Students (Trimester)

Graduation Square

21A

10/5/18

Thursday

9.00am

Departmental Postgraduate Committee meeting

R21A

21/5/18

Monday

9.00am

Departmental Examination Board

R21A

30/5/18

Monday

9.00am

Departmental meeting

21A

 

JUNE 2018

DATE

DAY

TIME

FUNCTION

VENUE

7/6/18

Thursday

9.00am

Departmental Meeting

 

19/6/18

Tuesday

9.00am

Postgraduate Committee meeting

Graduate School

26/6/18

Tuesday

9.00 am

Postgraduate seminar

R21A 


JULY 2018

DATE

DAY

TIME

FUNCTION

VENUE

6/7/18

Friday

9.00am

Postgraduate defence

Graduate School

10/7/18

Tuesday

9.00 am

Departmental Examination Board

R21A

17/07/18

Tuesday

9.00am

Departmental Meeting

21A

 

 

Prof. James Ogola Onyango 

Laikipia University

P.O. Box 16789-20100

NAKURU, KENYA

0721807108

 

Prof. Riyyah Timammy

University of Nairobi 

P.O. Box 30197

NAIROBI, KENYA

chair swahili dept

Dr. Pamela Muhadia Ngugi

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

SEMINA YA MAWASILISHO YA WANAFUNZI WA UZAMIVU

MODNS2_CREATED 13 September 2019

SEMINA YA MAWASILISHO YA WANAFUNZI WA UZAMIVU TAREHE: 19-9-2019 CHUMBA: L21 A Tirus Mutwiri Gichuru- C82/227113/2013 MADA: MBINU NA ATHARI ZA MABADILIKO YA KISEMANTIKI YA LEKSIA ZA KISWAHILI. Wasimamizi: Prof....

WANAFUNZI WAFUATAO WATATETEA MAPENDEKEZO YA MADA ZA UTAFITI IDARANI TAREHE 3-10-2019 KUANZIA SAA TATU ASUBUHI KATIKA CHUMBA NAMBARI 273-BSSC

MODNS2_CREATED 11 September 2019

NO WANAFUNZI MADA WASIMAMIZI 1. Seth Gatende Gekuno C50/CE/22596/11 0729865958 “Matumizi ya Vipengele vya Fasihi Simulizi katika Tamthilia za ‘Chamchela’ na ‘Kijiba cha Moyo’ Timothy Arege Dkt. Richard Wafula Dkt....

Go to Top