Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
DrBeth

Title/Qualifications: Dr.
Department/Unit/Section:
Kiswahili
Contact Address
: 43844-00100 Nairobi
Position: L
ecturer
Area of Specialization
: Kiswahili Language and Literature
Research Interests:
Disability Studies in Relation to Language and Literature


Download full CV

Publications

Refereed Journals

  • Taswira ya Ulemavu wa Akili kama Mtindo wa Uzinduzi wa Jamii: Usawiri wa Mzee Gae katika Riwaya ya Dunia Mti Mkavu ya S.A. Mohamed in KIOO CHA LUGHA , Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Journal of the Institute of Kiswahili Studies). VOL .17 2019 pp 132-150.

Books and Books Chapters

  • Mutugu, B.N. (2011). A Feministic Stylistic Approach to the Swahili Fiction of Ben Mtobwa (2011), in East African Literature : Essays on Written and Oral Literature, (Eds) Makhoha J. S., Kabaji E, & Dipio D. Berlin:Logos Verlag ISSN: 3832528164

Conference Presentations

  • Mutugu, B. & Osore, M. (2019). Athari za Ulevi katika Mshikamano wa Kijamii: Uchanganuzi wa Wahusika Teule katika Riwaya ya Dunia Mti Mkavu (S. A. Mohamed) na Rosa Mistika (E. Kezilahabi), katika  Lugha na Fasihi katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano. (Wah) Kobia, Kandagor na Mwita (2019)  uk. 239-250

chair swahili dept

Dr. Pamela Muhadia Ngugi

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Go to Top