Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.


Title/Qualifications
: Prof, Phd
Department/Unit/Section: Kiswahili 
Contact Address: P.O. Box 43844-00100
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it./This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 
Cell phone: +254 733 672 701, Tel 810901-10 ext 57446 
Position: Professor
Research Interests:All aspects of Kiswahili, with emphasis on Historical Development of Kiswahili, Sociolinguistics, Language Policy and Language Planning: Kiswahili Morphology.
Download Full CV

 

PUBLICATIONS
1). Papers And Chapters In Books

  • 2019 - Titus M. Gichuru, Ireri Mbaabu and Kitula King’ei, “Nafasi ya Sitiari katika Mabadiliko ya Kisemantiki ya Leksia za Kiswahili, Ulinganisho wa Kiswahili cha kabla ya Karne ya Ishirini na Kiswahili cha Kisasa.” Katika, Mwanga wa Lugha Vol.3 Na. 1 2019. Kur. 213 – 226.
  • 2005 “Mchango wa Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI) Katika Uendelezaji na Ukuzaji wa Kiswahili” in Kiswahili Vol.68 (84-93) Institute of Kiswahili Research Jubilee Edition 1930-2005.
  • 2002 “Jinsi Mwelekeo wa Baadhi ya Wakenya Unavyotatiza Uenezaji wa Lugha na Fasihi ya Kiswahili Ulimwenguni” Kitula King’ei na Ireri Mbaabu. Paper Published in Mulika Na.25, 30-36 Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI), University of Dar es Salaam, 2002.
  • 2000 “A case for the use of Kiswahili as a Language of Instruction in Lower Primary Schools in Kenya: A paper published by Kimani Njogu et al (Eds): Kiswahili Katika Karne ya Ishirini na Moja (Kiswahili in the 21st Century) Cacas Book Series No. 17, Centre for Advanced Studies in African Society, Cape Town, South Africa, 2000.
  • 1995 “Dhima ya Kamusi Katika Kufundisha na Kujifunza Kiswahili” in J.G. Kiango (Ed.) Dhima ya Kamusi Katika Kusanifisha Lugha. Institute of Kiswahili Research, University of Dar es Salaam.
  • 1995 “Linguistic and Cultural Dependency in Africa”, Baragumu, Maseno University College.
  • 1991 “Jukumu la Kiswahili Katika Elimu kwa Watu Wazima.” In Kartsen Legere (Ed.): The Role of Language in Literary Programmes with Special Reference to Kiswahili in East Africa, 467-482. Zed Publishers, Bonn, Germany.
  • 1989 “Uchambuzi wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu”. In Ufumbuzi, Jarida Lenye Mtazamo wa Kiafrika. No. 3 Summer 1989. 26-32. Nyota Nyeusi, New York.
  • 1988 “Ukubalifu wa Msamiati: Mifano Kutoka Kenya”. In: Makala za Semina ya Kimataifa: Usanifishaji wa Istilahi za Kiswahili. Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, Dar es Salaam.
  • 1985 “Forward” To Father Daniel Nyaga’s Mikarire na Mituurire ya Amiru. (Culture of the Meru People). Nairobi: Heinemann Publishers.
  • 1985 “Language and Scripts of the World Number 6 – Kiswahili Rich Language of East Africa.” In Language Monthly, An International Journal of Translation. September, 1985. (Pretorius Limited, Nottingham, U.K.
  • 1978 “Language Planning in Kenya: Some Practical Considerations”. Lugha, A Journal for Language Teacher’s in Kenya. Vol.5. No.3, 1978. 13-14.
  • 1977 “Pronoun Deletion as a Result of Over identification.” In Lugha, A Journal for Language Teachers in Kenya. Vol.5 No.2 1975, 5-15.
  • 1975 “Kiswahili Kenya”. Lugha, A Journal for Language Teachers in Kenya. Vol.5 No.1. 1976, 27-34.

 

Prof. Peter Githinji

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21

MODNS2_CREATED 29 November 2021

Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne...

WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

MODNS2_CREATED 06 July 2021

>>>>>DOWNLOAD WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

Go to Top
Template by JoomlaShine