Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.

2). Dictionaries

  • 2003 Ireri Mbaabu and Kipande Nzunga Sheng English Dictionary – Institute of Kiswahili Research, University of Dar es Salaam. (Contributed and acknowledged in all three (3)leading Kiswahili Dictionaries).
  • 2017 Kamusi Kuu ya Kiswahili (BAKITA) National Kiswahili Council of Tanzania – Longhorn (p. viii)
  • Kamusi ya Karne ya 21. Longhorn Publishers. Nairobi (Lexical Contribution (Vide Pg. V)
  • Kamusi ya Kiswahili Sanifu .TUKI – Institute of Kiswahili Research, University of Daresalaam OUP – (Pg.viii)

3). Books

  • 2017:  Masomoni California, Longhorn Publishers: Nairobi.
  • 2007 Historia ya Usanifishaji wa Kiswahili (A History of Kiswahili Standardization) – Institute of Kiswahili Research, University of Dar es Salaam.
  • 1996 (a) Language Policy in East Africa – A dependency Theory Perspective, Educational Research and Publication Limited, Nairobi, Kenya.
  • 1996 (b) Mother Tongue in Education, Lectern Publications Ltd., Friends of the Book, Nairobi, Kenya.
  • 1995 Usahihishaji wa Makosa Katika Kiswahili (Common Mistakes in Kiswahili) Longhorn Kenya Ltd.
  • 1993 Sarufi ya Kiswahili (Swahili Grammar) Longman Kenya Limited (a revised edition). Reprinted (First published by KPBM in 1985).
  • 1992 The Impact of Language Policy on the Development of Kiswahili in Kenya, 1930-1990, U.M.I. Dissertation Service, Ann Arbor, Michigan, (PhD Dissertation).
  • 1991 Historia ya Usanifishaji wa Kiswahili (A History of Kiswahili Standardization). Longman Kenya Limited, Nairobi, Kenya.
  • 1987 Lugha ya Kiswahili kwa Shule za Upili, Kidato cha Pili. (A Secondary Form II Text Co-authored with Sheila Ali Ryanga). Nairobi: Kenya Publishing and Book Marketing Company, Nairobi, Kenya.
  • 1986 Lugha ya Kiswahili kwa Shule za Upili, Kidato cha Kwanza. (A Secondary Form I Text Co-authored with Sheila Ali Ryanga). Nairobi: Kenya Publishing and Book Marketing Company. Reprinted 1987, Nairobi, Kenya.
  • 1985 (a) Utamaduni wa Waswahili. (Culture of the Swahili People). Nairobi: Kenya publishing and Book Marketing, Nairobi, Kenya.
  • 1985 (b) New Horizons in Kiswahili, A Synthesis in Development Research and Literature. Nairobi: Kenya Literature Bureau.
  • 1978 (a) Kiswahili Lugha ya Taifa. (‘Kiswahili the National Language’- Covering Usage). Nairobi: Kenya Literature Bureau. Reprinted in 1985.
  • 1978 (b) Methali, Vitendawili na Mashairi ya Kimeru. (Kimeru Oral Literature – in Kimeru and Kiswahili). Nairobi: Kenya Literature Bureau.

Affiliations

  • Member, International Editorial Advisory Board, Kiswahili journal – Institute of Kiswahili Research, University of Dar es Salaam. (For 10 years)
  • Regular Internal Assessor for senior staff seeking promotion, Institute of Kiswahili Research, University of Dar es Salaam.
  • External Examiner, Kiswahili in various Universities in the Region.
  • Member, American National Geographic Society.

Prof. Peter Githinji

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21

MODNS2_CREATED 29 November 2021

Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne...

WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

MODNS2_CREATED 06 July 2021

>>>>>DOWNLOAD WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

Go to Top
Template by JoomlaShine