Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.
 


Title/Qualifications: Dr, PhD
Position: Senior Lecturer 
Department/Unit/Section: Kiswahili and Other African Languages
Contact Address: P.O. BOX, 43844 -100, Nairobi
E-mail : This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. , This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Area Of Specilaition: Kiswahili Language and Literature,  Sociolinguistics
Research Intersts:Children’s Literature and Sociolinguistics
ORCID ID: hptt://orcid.org/000-0001-8690-4198

Download Full CV

RESEARCH AND PUBLICATIONS

Referred Journals

  • Enock N. Nyariki na Pamela Ngugi ( 2022). “Ubainikaji wa Aina za Ukatili wa Watoto katika Fasihi ya Kiswahili ya Watoto.” Kioo cha Lugha, Juz. 20(1), 36-49. Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswahili. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam DOI: https://dx.doi.org/10.4314/kcl.v20i1.3
  • Ngugi , Pamela na David Kihara ( 2021) “Matumzi ya Teknohama na lugha ya Kiswahili kama nyenzo ya kuendeleza Sekta ya Kilimo: Tathmini ya Majukwaa ya Youtube na ”  In, Taaluma : Jarida la CHAKITA. ChAKITA. Juzuu 1.Na 1. Kur. 93-101.ISSN 2789-9209.
  • Ngugi Pamela, C. Ndungo na S. Mwendwa (2020) “ Usimilishwaji wa Vielelezo katika Fasihi ya watoto. Mifano kutoka Wasifu wa Mwana Kupona  (2008) na Alisi Ndani ya Nchi ya Ajabu (2015) In, Shani O. Mchapange na Rhodah P. Kidami (eds)  Kioo cha Lugha. TATAKI. University of Dar es Salaam. Vol. 18 . Kur 114-130.  ISSN 0856-552X e- ISSN 2546-2210.
  • Ngugi Pamela, Wafula, R. & Okwena, S. (2020) . “ Uchanganuzi wa Miundo ya Aristotle katika tamthilia ya Kinjeketile.|In, Musa Hans and Ramadhani, T. Kadallah (eds). Mulika. Journal of the Institute of Kiswahili Studies (TATAKI). University of Dar es Salaam. No. 39. 79-95. ISSN 0856-0129; E- ISSN 2546-2202.
  • Ngugi Pamela, Mwendwa, S. & Ndungo, C. (2020) Usimilishaji wa Vielelezo katika Fasihi ya Watoto : Mfano kutoka Wasifu  wa Mwanakupona (2008) na Alisi katika Nchi ya Ajabu (2015).In  Shani O. Mchepange na Kidami Rose (eds) Kioo cha Lugha. Journal of the Institute of Kiswahili Studies (TATAKI). University of Dar es Salaam. No. 18. 114-129. ISBN 0856-0129.ISSN 0856-552X  & ISSN 2546-2210 online
  • Ngugi, Pamela (2019). “Fasihi ya Watoto katika Ufundishaji wa Kiswahili katika vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki.” Kenneth Simala (Ed). Mitaala ya Kiswahili katika Vyuo vikuu vya Afrika Mashariki. Zanzibar. Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki. Kur 212-242.
  • Ngugi, Pamela (2019). “Fasihi ya Watoto kama njia ya Kukuza Mshikamano wa Kitaifa.” In, J. Kobia, M. Kandagor na L.M. Chacha (eds). Lugha na fasihi katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano Barani Afrika. Eldoret. Moi University Press. Kur 1-10.
  • Ngugi, Pamela (2018). “Hatua na Maendeleo ya Utafiti katika Fasihi ya Watoto Nchini Kenya.” In: Mosol Kandagor and Mwenda Mukuthuria (eds), Fasihi Utafiti na Maendeleo yake. CHAKAMA na TUKI. University of Dar es Salaam. 54-64. ISBN 978 9976 5058 8-7.
  • Ngugi, Pamela (2018). “Tathmini ya Muundo wa Kamusi Bora ya Watoto.” In: L.M. Chacha, M. Kandagor, S.A. Ryanga Na J.N. Maitaria (eds). Isimu na Fasihi ya Lugha za Kiafrika. Kwa Heshima ya Profesa Mohamed Hassan Abdulaziz. Moi University Press. Eldoret. 209- 219. ISBN: 78-9966-1879-0.
  • Ngugi, Pamela M.Y. (2017). “Fasihi katika Lahaja Ibukizi. Mfano kutoka chapisho la Shujaaz.” In: M.M. Mulokozi and Mussa M. Hans (eds). Mulika. Journal of the Institute of Kiswahili Studies (TATAKI) & CHAUKIDU. University of Dar es Salaam. 199-210. ISBN 0856-0129 (Special Edition).

  •  Ngugi, Pamela M.Y. (2016). “Usawiri wa Masuala Ibuka katika Fasihi ya Watoto: Mifano kutoka Kenya”. In: M.M. Mulokozi and Mussa M. Hans (eds). Mulika. Journal of the Institute of Kiswahili Studies (TATAKI). University of Dar es Salaam.76-86.

  • Ngugi Pamela Y. (2016) “Nafasi ya Jamii ya Waasia katika kuendeleza lugha na fasihi ya Kiswahili”. In: Calvin Kayi and Miriam Osore (eds). Chemchemi, International Journal of Humanities and Social Sciences. Kenyatta University. Vol. 10 No 2, 2016. 52 – 66. ISBN 1563-1028. (Special Edition).

  • Ngugi, Pamela, M.Y. (2016). “Mikakati ya uchambuzi wa Fasihi ya Watoto: Mtazamo wa Upokezi wa Msomaji”. In: D.P.B. Massamba and L.H. Bakize (eds). Kiswahili. Journal of the Institute of Kiswahili Studies (TATAKI). University of Dar es Salaam. Vol. 79. 43-52.

  •  Ngugi, Pamela M.Y. (2015). “Mbinu na Mikakati ya Kutumia Fasihi ya Watoto kama Bibliotherapia.” In: Shani Omari and Rhoda P. Kidami (eds). Kioo cha Lugha. Journal of the Institute of Kiswahili Studies (TATAKI). University of Dar es Salaam. Vol.13. 2015, 1-12.

  •  Ngugi, Pamela. M.Y. (2015). “Developmental Change and Peace among Children in Kenya,” In: Calvin Kayi and Miriam Osore (eds). Chemchemi, International Journal of Humanities and Social Sciences. Kenyatta University. Vol. 10 No 1, 2015.52 – 66. ISBN 1563-1028.

  • Ngugi, P.M (2014) “Fasihi ya watoto katika kutekeleza mahitaji ya mtoto Kisaikolojia.” In D.P.B. Massamba and L.H. Bakize (eds) Kiswahili Journal of the Institute of Kiswahili Studies (TATAKI). University of Dar es Salaam Vol. 77.2014 170- 180 ISBN 0856-048 X
  • Ngugi, Pamela, Y. (2014) “Use of Children’s Literature in Multilingual Education in Kenya” In Multilingualism and Education in Africa: The State of the Art. Edited by Daniel O. Orwenjo, Martin C. Njoroge, Ruth W. Ndung’u and Phyllis W. Mwangi. ISBN (10) 1-4438- 6222-3. Cambridge Scholars Publishing. New Castle. 102 -117.
  • Ngugi Pamela (2014) .Ujasiri wa Tito. Oxford University Press, Nairobi. ISBN 978 019 573982 4
  • Ngugi Pamela (2012). Abida Avuka Barabara, Longhorn Publishers. Nairobi. ISBN 978 9966 36 223 1
  • Ngugi, P.M. (2012). “Tafsiri katika Fasihi ya Watoto: Mbinu na Mikakati” accepted for publication In Shani Omari and George Mrikaria (eds) Mulika Journal of Kiswahili. TATAKI. Vol. 31.2012.   University of Dar es Salaam
  • Ngugi, P.M. (2011). “Ufundishaji wa Fasihi ya Watoto nchini Kenya”. In P.S. Malangwa and L.H. Bakize (eds) Kioo cha Lugha, Journal of the Institute of Kiswahili Studies (TATAKI). University of Dar es Salaam. Vol.9. 2011.84 - 95. ISSN 0856-552X.
  • Ngugi P.M (2010). “Nafasi na Ubunifu katika Mchezo wa Watoto wa “Mchongoano” In  P.S. Malangwa and L.H. Bakize (eds) Kioo cha Lugha , Journal of the Institute of Kiswahili Studies, University of  Dar es Salaam.VOL. 8. 2010. 67 – 79. ISSN 0856 -552 X  
  • Ngugi Pamela M.Y. (2012) “The New Constitution and Teaching of African Languages: What is the way forward for Kenya?” In International Journal of the Arts and Commerce. Vol 1.No.3 August, 2012. (Ed.) Stephen West. School of Social and Political Sciences, University of Glasgow. ISSN: 1929-7106.
  • Ngugi Pamela M.Y. (2012) “Children’s Literature Research in Kenyan Universities: Where are we now?” In International Journal of the Arts and Commerce. Vol 1.No.2 July 2012. Ed. Stephen West. School of Social and Political Sciences, University of Glasgow. 60-77. ISSN: 1929-7106.
  • Ngugi Pamela M.Y & Wendo Nabea (2012) “Kiswahili Poetic Aesthetic: From the General Identities to the African Prodigy” Journal of Literary Studies, Vol 28 Number 2 June 2012. 83 -93. ISSN: 0256-4718
  • Ngugi Pamela M.Y. (2000) “Nafasi ya Muziki uliopendwa katika Fasihi ya Kiswahili" Swahili Journal, VII No. 64 R.M. Beck, L.Diegner, T. Geider, & W. Graebner (eds) University of Koln, Germany, 145 -152.
  • Ngugi Pamela M.Y. (1999): “Kiswahili kama Kilivyotumika Nyakati za Vita”, University of Koln, Germany. Swahili Forum, VI- No. 60. R.M. Beck, L.Diegner, T. Geider, & W. Graebner (eds)    131-136.
  • Ngugi P. Yalwala, (1995): “Mapitio ya Malenga wa Karne Moja”, Baragumu, Vol. 2 No. 1 &1, E. Mbogo & O.O, Onyango, (eds):  110 -113.

Prof. Peter Githinji

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21

MODNS2_CREATED 29 November 2021

Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne...

WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

MODNS2_CREATED 06 July 2021

>>>>>DOWNLOAD WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

Go to Top
Template by JoomlaShine