Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.


Title/Qualifications: PhD.
Department/Unit/Section: Kiswahili & African Languages
Contact Address:P.O. BOX 43844 NAIROBI
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Position: Senior Lecturer

Google Scholar:
Orchid ID :
https://orcid.org/0000-0002-7893-2209

Download full CV

PUBLICATIONS

Refereed Journals

 •  Osore Miriam (2022) ‘Nafasi ya Jumuia ya Afrika Mashariki katika kuendeleza Kiswahili kama Lugha ya Kimataifa’ in CHAKAMA Journal Vol. No. 1. Kandagor M. & Jilala H. (eds). ISSN: 1234-5678; e ISSN: 2971-2825. Pp 159-168.
 • Maggati C. N, Osore M. & Wafula R. (2021) ‘Athari ya Mazingira Asilia ya Mtunzi katika matumizi ya kujibadilisha mazingaombwe: Uchunguzi wa Riwaya teule za S. Robert na E. Kezilahabi in MULIKA Vol 40(2), Hans M. M & Kadallah R.T (eds), Journal of the Institute of Kiswahili Research, Dar es Salaam. ISSN 0856-0129, e-1SSN 2546-2202 pp. 124-141.
 • Osore Miriam (2021) ‘Nafasi ya Utamaduni katika Tafsiri: Mfano wa Msamiati wa Serikali na Bunge’ in TAALUMA Journal Vol No. 1. Kobia et al (eds) Nairobi. CHAKITA ISSN 2789 -9209 pp 27-34.
 • Kurema, L., Osore, M. and Chacha, L. (2020): ‘Tathmini ya Uwasilishaji na Upokezi wa Somo la Imla katika Shule za Upili Nchini Kenya” in MULIKA: Vol 39 Hans. MM & Kadala R.T. (eds), Journal of the Institute of Kiswahili Research, Dar es Salaam, pp. 112, University of Dar es Salaam.
 • Miriam Osore (2019): ‘Kiswahili kama Nyenzo ya Umoja na Mshikamano Nchini Kenya ikilinganishwa na Nchini China” in MULIKA Vol. 38, Hans M. M. & Kadalla R. T. (eds), University of Dar es Salaam, Institute of Kiswahili Research pp 43 – 54, ISSN 2546 – 2202, (e) - ISSN 2546 – 2202.
 • Miriam Osore (2016): ‘Defamiliarizing Marriage in a Patriarchal Socio-Cultural Context: An analysis of the Novels of Euphrase Kezilahabi and Said Ahmed Mohamed published in Kiswahili. Journal of the Institute of Kiswahili Studies Vol. 79. Massamba D.P.B and Bakize L. H (eds), University of Dar es Salaam, Dar es Salaam pp. 28 – 42. ISBN 0856 – 048X.
 •  Miriam Osore and Midika Brenda (2016): ‘Operationalizing Kiswahili as a Second Official Language: Examples from Canadian and South African Language Policy Frameworks’, in Chemichemi, International Journal of Humanities and Social Sciences. Vol. 10, No. 2, Kayi C., School of Humanities and Social Sciences, Kenyatta University pp. 69 – 88. ISBN 1563 – 1028.
 • Miriam Osore (2015): ‘Femininity and Masculinity in the Novels of Euphrase Kezilahabi and Said Ahmed Mohamed’ Published in Kioo cha Lugha, Journal of the Institute of Kiswahili Studies Vol. 13, Omari. S. and Kidami R. P. (eds), University of Dar es Salaam, Dar es Salaam pp. 13 – 31. ISBN 0856 – 552X.
 • Miriam Osore (2013): “Magical Transformation and the Subjugation of Nature in Said Ahmed Mohammed’s ‘Babu Alipofufuka’, published in International Journal of Humanities and Social Sciences Vol. 3, No. 10, by Centre for Promoting Ideas, USA, pp 132 – 136, ISSN 2220 – 8488 (print) ISSN 2221 – 0989 (online).
 • Miriam Osore (2011): “Reconstructing Reality in the Kiswahili Novel: The Role of Dreams in Euphrase Kezilahabi and Said Ahmed Mohamed’s Novels”, in International Journal of Humanities and Social Science Vol. 1 No. 9, Centre for Promoting Ideas U.S.A pp 48 – 60 ISSN 2220 – 8488 (print) ISSN 221-0989 (Online).
 •  Miriam Osore (2011): “The Subversive Cartoon Text: The Deconstruction of Political Ineptitude and Expedience in Kenyan Print Media”, in Journal of Education and Social Sciences, Vol. 1 No. 1, Kakamega, Masinde Muliro University of Science and Technology. pp 64 – 75, ISSN 2223 – 490X.

Other Publications

University Level Scholarly Books

 •  Kebeya H., Osore, M., Ngugi, P. & Kebaya, C., (eds) 2016: Language and Translation Theory, Pedagogy and Practice, Nairobi. Nsemia.
 • Miriam Osore, (ed.) (2011): Jua Linapotua na Hadithi Nyingine, Longhorn Kenya, Nairobi ISBN 9789966361375.
 •  Miriam Osore, (2011): Defamiliarization in the Novels of Euphrase Kezilahabi and S. A. Mohamed, (Ph.D Thesis), published by Lambert Academic Publishing, Berlin. ISBN: 978-3-8443-0542-5.
 •  Miriam Osore, Ezekiel A. & Pamela N. (2006): Kwa nini Ndovu Hali Nyama (Why the Elephant Does not Feed on Meat) A children’s book published by Longhorn Publishers, Nairobi, (2006): ISBN 9966497846.

Book Chapters in a University Level Scholarly Book

 • Miriam Osore (2023): ‘Itikadi ya Kuumeni katika Fasihi ya Kiswahili: Mifano kutoka Riwaya za Said Ahmed Mohamed na Euphrase Kezilahabi in Kiswahili Utaifa na Elimu Nchini Kenya, Njogu K. & Momanyi C. (edits), Nairobi, Twaweza Communications & UNESCO ISBN 978-9966-128-13-3 PP. 108 – 119.
 • Miriam Osore (2020): ‘Ufundishaji wa Kiswahili kama Lugha ya Pili na ya Kigeni: Nadharia za Kisasa’ in Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili katika Shule Nchini Kenya: Mtazamo wa Karne ya 21, edited by Mweteri, I. Nairobi, Oxford University Press, East Africa pp 45 – 62.
 • Miriam Osore (2019): ‘Ufasiri katika Sekta ya Afya: Kituo cha Afya cha Mathare North, Kenya’ in Kiswahili, Utangamano na Maendeleo Endelevu Afrika Mashariki edited by Walibora, K. W., Kipacha A. H., na Simala, K. I. Zanzibar, KAKAMA pp 198 – 215.
 • Miriam Osore (2019): ‘Mchango wa Tafsiri na Ukalimani katika Utekelezaji wa Katiba ya Kenya, 2010’ in Uwezeshwaji wa Kiswahili kama Wenzo wa Maarifa edited by Kobia, J. M., Kandagor, M., Mwita, L. M., Maitaria J. N., and Simwa, S.P.W. Eldoret, Moi University Press. pp. 61-67.
 • Miriam Osore (2019) & Everline Mudhune, ‘Utahini wa Kiswahili katika Vyuo Vikuu Nchini Kenya’, in Kiswahili katika Elimu ya Juu edited by Mohochi, E. S., Mukuthuria M., Ontieri O. J., Eldoret, Moi University Press pp 139 – 157.
 •  Mutugu B. N. and Miriam Osore (2019), ‘Athari za Ulemavu katika Mshikamano wa Kijamii: Uchanganuzi wa Wahusika Teule katika Riwaya ya Dunia Mti Mkavu (S.A. Mohamed) na Rosa Mistika (E. Kezilahabi) in Lugha na Fasihi Katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano Barani Afrika, edited by Kobia, J. Kandagor, M. and Mwita, L. C., Eldoret, Moi University press, pp 239 – 240.
 • Miriam Osore (2018): ‘Fasihi Andishi ya Kiswahili na Swala la Dini: Mifano ya Riwaya ya Said Ahmed Mohamed na za Euphrase Kezilahabi’, in Fasihi ya Kiswahili: Utafiti na Maendeleo yake’, edited by Kandagor M. and Mukuthuria M. Dar es Salaam, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI) pp 188 – 199. ISBN 978-9976-5058-87.
 • Miriam Osore (2018): ‘Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kama nyenzo ya kukuza na kuendeleza Kiswahili’ in Lugha na Maswala Ibuka’, edited by Kandagor M. Obuchi, S. M. and Mwanakombo, N. M., Nairobi, Chama cha Kiswahili cha Taifa, pp 123 – 135. ISBN: 978-9978-5058-56.
 • Miriam Osore (2018): ‘The Contribution of African Literature in the Preservation of Culture: The case of Kiswahili Literature’ in Isimu na Fasihi ya Lugha za Kiafrika edited by Mwita, C. L., Maitaria, J. N., Eldoret, Moi University Press pp. 75 - 83. ISBN 978-9966-1879-7-0.
 • Miriam Osore & Brenda Midika (2014): ‘Ufundishaji wa Kiswahili katika Nchi za Kigeni: Mfano wa Chuo Kikuu cha Syracuse’, in Miaka Hamsini ya Kiswahili Nchini Kenya, edited by Simala, I., Chacha L. Osore M. (eds) Nairobi, Twaweza Communications, Nairobi pp. 80-92. ISBN 978 9966 028 488.
 • Miriam Osore and Grace Wanja (2014): ‘Tathmini ya Tafsiri ya Pendekezo la Katiba ya Kenya 2010’ in Miaka Hamsini ya Kiswahili nchini Kenya, edited by Simala, I., et. al., Twaweza Communications, Nairobi, pp. 201-219.
 • Miriam Osore (2013): ‘Ufundishaji wa Taaluma ya Tafsiri katika Vyuo Vikuu Nchini Kenya in New Horizons in Pedagogy edited by Kabaji E., Simala I., Nasongo J., (eds), Masinde Muliro University of Science and Technology, Kakamega, pp 99 – 105.
 • Miriam Osore & Charlotte Ryanga (2012): “Ukiushi kama Mbinu ya Kudhihirisha Itikadi ya Kuumeni katika Fasihi ya Kiswahili Mifano kutoka Riwaya za Said Ahmed Mohamed na Euphrase Kezilahabi”, in Kiswahili na Utaifa Nchini Kenya (edited by Momanyi, C. et. al.), Nairobi, Twaweza Communications, Nairobi, pp 121 – 132. ISBN 978 9966 028 365.
 •  Miriam Osore (2008): “Jesus Christ and the Philosophy of Peaceful Co-existence” in Daisaku Ikeda and Voices for Peace from Africa, edited by Indangasi, H. and Hashimoto, M. O., Nairobi, Kenya Literature Bureau pp 109-117.
 • Miriam Osore & Pamela Ngugi: “Maisha: Kitendawili na Johari” in Daisaku Ikeda and Africa, (2001) edited by Indangasi H. and Hashimoto, M. O., published by Nairobi University Press, Nairobi, pp 96-101. ISBN: 9966846492.

Prof. Peter Githinji

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21

MODNS2_CREATED 29 November 2021

Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne...

WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

MODNS2_CREATED 06 July 2021

>>>>>DOWNLOAD WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

Go to Top
Template by JoomlaShine