Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.
DrBeth

Title/Qualifications: Dr. (Ph.D)
Department/Unit/Section:
Kiswahili and African Languages
Contact Address
: 43844-00100 Nairobi
Email:This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Position:
Lecturer
Area of Specialization: Kiswahili Language and Literature, Disability in Literature, Stylistics
Research Interests: Kiswahili Literature, Media and Communication
Google Scholar: ‪DR. BETH N. MUTUGU - ‪Google Scholar
ORCID ID: Beth Mutugu (0000-0002-0961-1516) - ORCID | Connecting Research and Researchers


Download full CV

Publications

Refereed Journals

  • Mutugu, B. N. (2019) Taswira ya Ulemavu wa Akili kama Mtindo wa Uzinduzi wa Jamii: Usawiri wa Mzee Gae katika Riwaya ya Dunia Mti Mkavu ya S.A. Mohamed  in KIOO CHA LUGHA , Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Journal  of the Institute of Kiswahili Studies). VOL .17  pp 132-150.

Books and Books Chapters

  • Mutugu, B.N. (2011). A Feministic Stylistic Approach to the Swahili Fiction of Ben Mtobwa (2011), in East African Literature : Essays on Written and Oral Literature, (Eds) Makhoha J. S., Kabaji E, & Dipio D. Berlin:Logos Verlag ISSN: 3832528164

Conference Presentations

  • Mutugu, B. & Osore, M. (2019). Athari za Ulevi katika Mshikamano wa Kijamii: Uchanganuzi wa Wahusika Teule katika Riwaya ya Dunia Mti Mkavu (S. A. Mohamed) na Rosa Mistika (E. Kezilahabi), katika  Lugha na Fasihi katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano. (Wah) Kobia, Kandagor na Mwita (2019)  uk. 239-250

Other Publications/ Awaiting Publication

  • Mutugu, B. (2021). Matumizi ya Mihadarati ni zao la Mazingira: Mfano wa Mhusika Haji katika Riwaya ya Dunia Mti Mkavu (S. A. Mohamed). CHAKAMA
  • Mutugu, B. N. (?). Motifu ya Mawaidha Katika Tawasifu ya Nasikia Sauti ya Mama (K. Walibora). (Mulika)
  • Mutugu B. N. (2021). Matumizi ya Tanzu za Fasihi Simulizi Katika Tawasifu ya Nasikia Sauti ya Mama (K. Walibora). CHAKITA
  • Munuku, A. Mutugu, B & Ngugi, P.  (2021). Kiswahili kwa Wanahabari: Kwa Vyuo vya Uanahabari na Mawasiliano. Dar es Salaam: TATAKI
  • Mutugu, B. N & Kaui, M. T  (Wah).  (2021): Diwani ya Mke Mwana na Hadithi Nyingine. Nairobi: Storymoja Publishers.-

Research

  • Mutugu, B. (2019). Taswira za Ulemavu kama Mtindo katika Riwaya Teule za Said Ahmed Mohamed na Euphrase Kezilahabi . Ph. D  Thesis
  • Mutugu,  B. (2001). Makosa ya Kileksia  katika Insha na Chanzo Chake: Uchunguzi wa Shule Tano za Upili Wilayani Kiambu. M.A. Thesis .

Conferenced/Workshops/Seminars Attended

Conferences

  • 19th February 2021- Virtual Conference Organized by CHAKITA (Kenya) entitled Kiswahili na Siasa Barani Afrika.
  • 7th- 8th November 2019- International Conference organized by Chama cha Kiswahili cha Afrika Mashariki (CHAKAMA) at Maasai Mara University. I presented a paper titled: ‘Matumizi ya Mihadarati ni Zao la Mazingira: Mfano wa Mhusika Haji katika Riwaya ya Dunia Mti Mkavu (S.A. Mohamed)’
  • 8th- 9th August 2019- International Conference organized by Chama cha Kiswahili cha Taifa (CHAKITA) at Karatina University. I presented a Paper titled: ‘Tabia ya Ubakaji Hubainisha Wanajamii Kijinsia:Uchunguzi wa Riwaya ya Dunia Uwanja wa Fujo na Kichwamaji (E. Kezilahabi)’
  • 15th – 16th  October 2015- International Conference organized by  Chama cha Kiswahili cha Afrika Mashariki (CHAKAMA)  at the Mount Kenya University (MKU), Thika.
  • 21st- 23rd August 2013- International conference organized by Chama cha Kiswahili cha Taifa (CHAKITA) at the Catholic University of Eastern Africa (CUEA). I presented a paper titled: ‘Maonyesho ya Mitindo ya Mavazi na Mashindano ya Urembo: Fasihi Simulizi ya Kisasa?’
  • 10th- 12th 2011- International conference organized by Chama cha Kiswahili cha Taifa (CHAKITA) at Lenana House, Nairobi. I presented a paper titled ‘Nafasi ya mwanamume katika Vifungu vyaUfahamu vya Kitabu cha Pili cha Wanafunzi cha Chemchemi’.

Workshops Attended

  • 15th June 2020- 13th July 2020- Virtual Onsite Training Workshop on Research and Grants Management – organized by the Southern African Research and Innovation Management Association (SARIMA).
  • 22nd February 2019- Training Workshop  For Trainer of Trainers (TOT) For Staff Mentors & Facilitators Growing Leaders Programme organized by  The Directorateof Career and Development & Mentorship Programmes at the Business and Students Centre , Kenyatta University.
  • 24th-26th June 2013 – Workshop on Evaluation on Teaching Methodology and Pedagogy  in Higher Education organized by the Centre of Excellence, Kenyatta University.
  • March  2013- Workshop For Trainer of Trainers (TOT) on Drug and Substance Abuse for Staff mentors Organized by The Directorate of Mentorship Programme, at  Kenyatta University, Mombasa Campus

Seminars Attended

  • 9th December 2019 - Attended a Post –Graduate Seminar for the Ph. D graduands at the 47th  Graduation Ceremony of Kenyatta University.
  • 30th September 2015- Attended a Seminar facilitated by Prof. Austin Bukenya on ‘Effective Strategies of Teaching Literature’. The seminar was organized by the Kiswahili Department, Kenyatta University.
  • 23rd March 2013- Kenyatta University student mentors retreat at KFEET centre, Karura which was organized by the Mentoring Directorate of Kenyatta University
  • 26th September 2011- A seminar for staff mentors organized by the the Mentoring Programme Directorate of Kenyatta University at the Business Centre, Kenyatta University.

Prof. Peter Githinji

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21

MODNS2_CREATED 29 November 2021

Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne...

WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

MODNS2_CREATED 06 July 2021

>>>>>DOWNLOAD WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

Go to Top
Template by JoomlaShine