Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.

Title/Qualifications: Dr, PhD
Position: Lecturer
Department/Unit/Section: Kiswahili and African Languages
Contact Address: P.O Box 67130-00200 NAIROBI
E-mail : This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.,This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

 

Download Cv

Publications and Academic seminar papers

  • 2021 “Perspective Comparison of Structures and Themes of Two Ancient Epic Poems and Muyakas Poems” Research Journal in African Languages.2.1

     

  • 2020 . AKS 802 ‘’Theories of Literary Criticism and Literary Analysis’’Interactive Module, Kenyatta University.

  • AKS 201 ‘’Introduction to Kiswahili Literature’’ Interactive Module, Kenyatta University.
  • 2020.AKS 309 ‘’Stylystics”’ Interactive Module, Kenyatta University.

     

  • 2020 .AKS307 “Thietre Arts and Drama” Interactive Module, Kenyatta University.

  • Mabadiliko ya Maudhui Katika Riwaya Teule za S.A Mohamed. Koja la Taaluma za Insia uk 119-130.
  • 2018 “The Impact Of Global Terrorism On Ethnicity And Community Relations In Kenya:Towards A Reconstruction Of A Vibrant Civil Society” International Journal of Humanities and Social Science Invention(JHSI) vol 7 issue10, ver.3 (November 2018)58-62 e-ISSN:2319-7722,P-ISSSN2319-7714,
  • 2018“Challeges of Translated Kiswahili Texts” International Journal of Humanities and Social Studies ISSN 2321-9203 co-author, Geofrey Kitula King’ei.
  • 2018 “Itikadi katika riwaya za Dunia Yao na Mhanga Nafsi Yangu za S.A Mohamed” International Journal of Humanities and Social Science (IOSR-JHSS) vol 23 issue 9 e-ISSN:2279-0837,P-ISSSN2279-0845,75-83 co-author Richard Makhanu Wafula
  • 2018 “Usemezano Katika Kilio cha Haki” International Journal of Humanities and Social Science (IOSR-JHSS) vol 23 issue10,ver.3 (october2018)36-42 e-ISSN:2279-0837,P-ISSSN2279-0845,
  • 2018 “Uhusiano wa Itikadi na Mtazamo wa Mtunzi”. International Journal of Humanities and Social Science (IOSR-JHSS) vol 23 issue 9 e-ISSN:2279-0837,P-ISSSN2279-0845,75-83
  • 2018 “Utathimini wa Itikadi Katika Riwaya za Awali za S.A Mohamed;In Mosol Kendagor and Mwenda Mukuthuria (eds) Utafiti wa Lugha na Fasihi ya Kiswahili. CHAKAMA: TATAKI (uk: 200-222)
  • 2018: Translated texts: A case study of Kithaka Wamberia’s Texts.In:Proceedings of the1st Annual International Conference on Harnessing Scientific Research, Innovation and Technology For Sustainable Development, Machakos University,17th-19th April 2018.Machakos,Kenya 305-322. ISBN: 978-9966-117-37-3.
  • 2017: Itikadi Katika Riwaya za Said A.Mohamed. PhD theses: Kenyatta university. Published online by Kenyatta University
  • 2016: “Itikadi Katika Riwaya za Awali za S.A Mohamed” Kioo Cha Lugha. Vol;14, 144-153
  • 2016: A Study on Emotional Intelligence among Psychotherapists in Northern Uganda.International journal of academic Research in Psychology, vol:3,no 2.ISSN2312-1882,9-19
  • 2016: Effect of User Interface on the Utilization and Efficacy of Educational Digital Content among Secondary Schools in Kenya. International Journal for Innovation Education and Research, Vol:4 (10), 225-241.
  • 2002: “Usemezano Katika Tamthilia ya Kiswahili, MA Thesis ,” Kenyatta university, Published online by Kenyatta University.

Workshops and related training attended

  • June 2018 “Training on sheng and languages” Kenyatta university
  • May 2018: Risk management coordinators training” Kenyatta University.
  • June 2018: New methodologies of teaching in higher Education.Kenyatta university
  • June 2017: Integrity Officers training at Kenya School of Monetary studies EACC.
  • June 2012: Testing and evaluation on Higher Education. University of Nairobi.

Professional Body.

  • Chama Cha Kiswahili cha Taifa. Member number 43.

Prof. Peter Githinji

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21

MODNS2_CREATED 29 November 2021

Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne...

WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

MODNS2_CREATED 06 July 2021

>>>>>DOWNLOAD WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

Go to Top
Template by JoomlaShine