Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.

MAKALA YALIYOCHAPISHWA NA WANAIDARA (2021)

  1. Osore, Miriam (2021) “Nafasi ya Utamaduni katika Tafsiri: Mfano wa Msamiati wa Serikali na Bunge”. Katika, Taaluma: Jarida la CHAKITA. Juzuu 1. Na. 1. 27-34. ISSN: 2789-9209.
  2. Chacha, L. na Maitaria, J. (2021). “Methali za Kiswahili katika Ubainishaji na Uhifadhi wa Mazingira”. Katika, Taaluma: Jarida la CHAKITA. Juzuu 1. Na. 1. 73-82. ISSN: 2789-9209.
  3. Kihara, D. & Ngugi, P.M. (2021). “Matumizi ya Teknohama na Lugha ya Kiswahili kama nyenzo ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo: Tathmini ya majukwaa ya YouTube na Facebook”. Katika, Taaluma: Jarida la CHAKITA. Juzuu 1. Na. 1. 93-100. ISSN: 2789-9209.

MAKALA YALIYOCHAPISHWA NA WANAIDARA (2020)

  1. Wafula, Richard, Ngugi Pamela & Okwena, Sophie. (2020) “Uchanganuzi wa Miundo ya Aristotle katika tamthilia ya Kinjeketile. In, Musa Hans and Ramadhani, T. Kadallah (eds). Mulika. Journal of the Institute of Kiswahili Studies (TATAKI). University of Dar es Salaam. No. 39. 79-95. ISSN 0856-0129; E- ISSN 2546-2202.
  2. Mwenda, Stephen, Ngugi, Pamela, & Ndungo, Catherine. (2020). “Usimilishaji wa Vielelezo katika Fasihi ya Watoto: Mfano kutoka Wasifu wa Mwanakupona (2008) na Alisi katika Nchi ya Ajabu (2015)”. In, Shani O. Mchepange and Kidami Rose (eds) Kioo cha Lugha. Journal of the Institute of Kiswahili Studies (TATAKI). University of Dar es Salaam. No. 18. 114-129. ISBN 0856-0129.ISSN 0856-552X & e-ISSN 2546-2210.
  3. Kurema Lorna, Osore, Miriam. na Chacha Mwita (2020). “Tathmini ya Uwasilishaji na Upokezi wa somo la Imla katika shule za Upili Nchini Kenya.” In, Musa Hans and Ramadhani, T. Kadallah (eds). Mulika. Journal of the Institute of Kiswahili Studies (TATAKI). University of Dar es Salaam. No. 39. 112-129. ISSN 0856-0129; E- ISSN 2546-2202.

MAKALA YALIYOCHAPISHWA NA WANAIDARA (2019)

  1. Chacha, L. (2019). “Tathmini ya Mitandao ya WhatsApp katika ukuzaji wa Kiswahili.” Katika, John Kobia na Wengine (Wah). Uwezeshwaji wa Kiswahili kama wenzo wa Maarifa. Eldoret. Moi University Press. 143-150.
  2. Chacha, L. M. (2019). “Ukuaji na ufifiaji wa Nahau za Kiswahili.” Katika, Ernest s. Mohochi, Mwenda Mukuthuria & J.M. Ontieri (Wah). Kiswahili katika Elimu ya Juu. Moi University Press.217-227.
  3. Chacha, L. M. (2019). Utandawazi na Athari zake kwa Kiswhhili na Lugha za Kiasili Nchini Kenya. Katika, Kobia, J.M., Kandagor, M., Mwita, L.C., Maitaria, J.M. na Wandera-Simwa, S.P. (Wah).Uwezeshaji wa Kiswahili kama Wenzo wa Maarifa. Eldoret. Moi University Press. Kur. 143 – 150.
  4. Mwita, L.C. & Kanaro, P. (2019). “Dhanagande na Vichekesho vya Kikabila kama Lugha ya Chuki”. Katika, Obuchi, S., Mwita, M.M. & Noordin, M.M. (Wah.) 2019. Mwanga wa Lugha. Toleo Maalum Juni 2019. Eldoret. Moi University Press. Kur 133 – 148.
  5. Chacha, L. M. (2019). “The Role of Gender and Language in the Kenyan Political Campaign Discourse Preceding the August 2017 Elections”. In, Wamue-Ngare, G., & Kamau, P.W. (ed.). Familiar Tears. Beau Bassin. Lambert Academic Publishing. Pgs. 148 – 157.
  6. Gakuo, J.K. (2019). “Ushairi wa Kiswahili kama Tukio la Kihistoria.” Katika, J. Kobia, M. Kandagor na L.M. Chacha (Wah.).  Lugha na Fasihi Katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano Barani Afrika. Eldoret: Moi University Press. 115-127.
  7. Gakuo J. K, (2019). “Changamoto zinazokumba Uchanganuzi, Ufasiri na Ufunzaji Ushairi wa Kiswahili katika Shule za Upili Nchini Kenya.” Katika, Nathan Ogechi, Mosol Kandagor (Wah), Mwanga Wa Lugha, Jarida la Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika, Chuo Kikuu cha Moi. Kur. 31-44.
  8. Gichuru, T.M., King’ei, & K. Mbaabu, I. (2019). Utambuzi, Hisia na Mabadiliko ya Kisemantiki ya Leksia za Kiswahili.” Katika, Mwanga wa Lugha. Juzuu 4 Na.1 Jarida la Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika, Chuo Kikuu Cha Moi. Moi University press. Kur. 1-12.
  9. Gichuru, T.M., Mbaabu, I.& King’ei, K (2019). “Nafasi ya Sitiari katika mabadiliko ya Semantiki ya Leksia za Kiswahili: Ulinganisho wa Kiswahili cha kabla ya Karne ya Ishirini na Kiswahili cha Kisasa.” Katika, Mwanga wa Lugha. Juzuu 3 Na.1 Jarida la Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika, Chuo Kikuu Cha Moi. Moi University Press. Kur. 213-226.
  10. Githinji, P. (2019). “Sanaajadiya Mtandaoni: Misimbo Ibuka Yaimarika ilhali Kiswahili chaganda.” Katika, Samuel Obuchi, Miriam B. Mwita, & Mwanakombo M. Noordin (Wah). Mwanga wa Lugha. Jarida la Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika, Chuo Kikuu Cha Moi. Moi University press. Kur. 148-161.
  11. Justus Kyalo Muusya, K. King’ei & R. Wafula (2019). “Uhusiano kati ya Asasi ya Familia na Uongozi wa Jamii katika Riwaya za Kiswahili za Dunia Yao (Mohamed, 2006) na Kidagaa Kimemwozea (Walibora, 2012). In, East African Journal of Contemporary Research 1, Issue 1. Kur 35-44.
  12. Mbaabu, I. & Onyango, J.O. (2019). “Kiswahili na Maendeleo ya Afrika Mashariki.” Katika, Walibora, K.W. Kipacha, & Simala, K.I. (Wah). Kiswahili, Utangamano na Maendeleo Endelevu Afrika Mashariki. Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki, (KAKAMA). Kur 52-67.
  13. Murithi J.J. na King’ei, G. (2019).”Itikadi Katika Riwaya za Dunia Yao (2006) na Mhanga Nafsi Yangu (2013) za S.A Mohamed. Katika, Mwanga wa Lugha. Jarida la Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika, Chuo Kikuu Cha Moi. Moi University Press. Juzuu 4. 211-224
  14. Murithi J.J., King’ei, G. na Wafula, R.(2019). Uhusiano wa Historia na Itikadi Katika Riwaya Teule za S.A Mohamed. Katika, Jarida la CHALUFAKITA. Juzuu.1 Vol. 1 2019.Kur. 33-46.
  15. Murithi J.J. na Wafula R. (2019). “Mabadiliko ya Maudhui Katika Riwaya Teule za S.A Mohamed.” Katika, Koja la Kiinsia. Chuo Kikuu cha Dodoma. Kur. 65-75.
  16. Mutugu, B. na Osore, K.M. (2019). “Athari za Ulevi katika Mshikamano wa Kijamii: Uchanganuzi wa Wahusika Teule katika Riwaya ya Dunia Mti Mkavu (S.A. Mohamed) na Rose Mistika (E. Kezilahabi).” Katika: J. Kobia, M. Kandagor na L.M. Chacha (Wah.) Lugha na Fasihi Katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano Barani Afrika. Eldoret: Moi University Press. Kur 239-250.
  17. Ngugi, P.M. (2019). “Fasihi ya Watoto kama njia ya Kukuza Mshikamano wa Kitaifa.” Katika, J. Kobia, M. Kandagor na L.M. Chacha (Wah.) Lugha na Fasihi Katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano Barani Afrika. Eldoret: Moi University Press. Kur. 1- 10.
  18. Ngugi, P. M. (2019). “Fasihi ya Watoto katika Ufundishaji wa Kiswahili katika Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki.” Katika, Kenneth Simala (Mhr). Mitaala ya Kiswahili katika Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki. Kimechapishwa na Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki, (KAKAMA) Zanzibar. Kur.212-242.
  19. Ngugi, P.M. (2019). “Hatua za Maendeleo Katika Tafiti zilizofanywa katika Idara ya Kiswahili ya chuo kikuu cha Kenyatta.” Katika, Ernest S. Mohochi, Mwenda Mukuthuria & J.M. Ontieri (Wah). Kiswahili katika Elimu ya Juu. Moi University Press. Kur. 205-216.
  20. Osore, M, (2019). “Ufasiri katika Sekta ya Afya: Kituo cha Afya cha Mather North, Kenya.” Katika, Walibora, K. Kipacha, & Simala, K.I. (Wah). Kiswahili, Utangamano na Maendeleo Endelevu Afrika Mashariki. Kimechapishwa na Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki, (KAKAMA) Zanzibar. Kur 198-21.
  21. Osore, M. (2019). “Mchango wa tafsiri na Ukalimani katika utekelezaji wa Katiba ya 2010.” Katika, John Kobia na Wengine (Wah). Uwezeshwaji wa Kiswahili kama wenzo wa Maarifa. Eldoret. Moi University Press. Kur. 61-68.
  22. Osore, M. & Mudhune, E. (2019). “Utahini wa Kiswahili katika Vyuo Vikuu nchini Kenya.” Katika, Ernest S. Mohochi, Mwenda Mukuthuria & J.M. Ontieri (Wah). Kiswahili katika Elimu ya Juu. Moi University Press. Kur.139-157.

Prof. Peter Githinji

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21

MODNS2_CREATED 29 November 2021

Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne...

WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

MODNS2_CREATED 06 July 2021

>>>>>DOWNLOAD WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

Go to Top
Template by JoomlaShine