Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.
chair swahili dept

Title/Qualifications: Senior Lecturer. (Ph.D–comparative Literature & Minors in Folklore and African Studies – Indiana University, Bloomington- 2003)

Department/Unit/Section: Kiswahili And African Language

Position:  Senior Lecturer and Dean School of Humanities & Social Sciences
Download Full CV

ORCID ID

Google Scholar

Research Publications

Refereed Journal Papers

  • Wafula, Richard Makhanu “Itikadi na Ufundishaji wa Nadharia za Uhakiki wa Fasihi”, Kioo cha Lugha. Vol.20 Issue 1 (50-61). Publication date 2023/3/22
  • Wafula, Richard Makhanu “Economic Perspectives in East African Literature: A Study in Selected Novels in Kiswahili”, International Journal of Humanities and Social Studies, vol. 9 issue 4, 2021 (256-260).
  • Wafula, Richard Makhanu; Mue Elizabeth Kasau. “Uchanganuzi wa Riwaya ya Kiza katika Nuru ya S.A. Mohamed kwa Misingi ya Umarxi Mpya wa Kifreire” Swahili Forum, vol. 28, 2021, Leipzig University.
  • Wafula, Richard Makhanu. “Nadharia za Uhakiki wa Fasihi kama Mchakato wa Kutaalamisha Usomaji wa Fasihi”, Journal of Linguistics and Language in Education, Vol. 8, Number 1, (2014: 39-48) Dar es Salaam: Department of Foreign Languages.
  • Simiyu Benson Sululu, Wafula Richard Makhanu, Maitaria Joseph Nyehita. “Mchango wa Tanzu za Kimaigizo za Fasihi Simulizi katika Umahuluti wa Riwaya ya Kiswahili: Uchunguzi wa Riwaya ya mafuta Mwanga wa Lugha, Jarida la Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika, Juzuu 6 namba 2, Septemba 2021
  • Dorcas Misoi; Wafula Richard Makhanu. “Dhima ya Usimulizi Katika Uwasilishaji wa Nyimbo za Taarab: Uchunguzi wa Kipengele cha Wakati”. East African Journal of Swahili Studies, vol.5, issue 1, 2022 (3-10)
  • Simiyu Benson Sululu; Wafula Richard Makhanu; Maitaria Joseph Nyaheta “Mchango wa Tanzu za Kimaigizo za Fasihi Simulizi katika Umahuluti wa Riwaya ya Kiswahili:Uchunguzi wa Riwaya ya Mafuta” Mwanga wa Lugha, Jarida la Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika, Juzuu 6, namba 2, September, 2021.
  • Maggati, Charles; Wafula Richard; Osore Miriam.”Athari za Mazingira Asilia ya Mtunzi katika Ukiushi wa Kaida za Uhalisia kama Kipengele cha Uhalisiamazingaombwe: Mifano kutoka Riwaya za Shaaban Robert na Euphrase Kezilahabi”, Mwanga wa Lugha, Jarida la Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika, Juzuu 6 namba 2, Septemba 2021.
  • Wafula Richard Makhanu; J.N. Maitaria. “Academic Publishing in Eastern Africa: Prospects and Challenges”, Kumekucha, vol. 1, issue1, 2015. Nairobi: Catholic University of East Africa.
  • Ng’etich, D.K; Maitaria, J.N; Wafula Richard Makhanu “Msuko katika Riwaya za Awali za Fasihi ya Kiswahili”. Jarida la Chakama, vol. 1 2022 (185-200).
  • Maitaria, Joseph; Wafula Richard Makhanu. “Ushairi wa Abdilatif Abdalla Katika Kubainisha Utamaduni wa Waswahili”, Journal of Linguistics and Language in Education, 12, no.2: Department of Foreign Languages, Dare Salaam University.
  • Wafula, Richard Makhanu. “Leading an Academic Staff Union as a Middle Level Academic (2003-2013), Journal of Higher Education in Africa18, no.2, 2020 (131-147), Codesria: Cheikh Anta Diop University.
  • Sanja Leonard; Kitula Kinge’i; Richard Wafula. “Uchumi na Ustawi wa Jamii: Mtazamo wa Kisiemiotiki wa Ushairi wa Kivumba, Mwangaza wa Lugha juzuu 7 namba 11(89- ). Jarida la Idara ya Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika, Chuo Kikuu cha Moi.
  • Murithi, Jesse Joseph; Wafula Richard Makhanu ; Geoffrey Kitula King’ei, “Itikadi Katika Riwaya za Dunia Yao (2006) na Mhanga Nafsi Yangu (2013), “IOSR Journal of Humanities and Social Sciences (IOSR-JHSS), Vol.23, Issue 9 Ver. 7 (September 2018) 39-46
  • N. Maitaria; Wafula Richard Makhanu “Ushairi wa Kiswahili na Uwasilishaji wa Harakati za Kukabiliana na Matatizo Yaliyopo Katika Mataifa Huru ya Afrika”, Kiswahili vol. 78, issue 1 (2014: 69-84). Dar es Salaam: Institute of Kiswahili Studies.
  • Sanja, L.W., King’ei G.K. Wafula Richard Makhanu “A Semiotic Survey of Kivumba Superstitions”,International Journal of Innovative Research and Knowledge, issue 5 May 2020 ( 8-15).
  • Wafula, Richard Makhanu; Chris L. Wanjala “Narrative Techniques in Chinua Achebe’s Things Fall Apart”, Journal of Social Science 50 ( 1-3) : 62-69- (2017), London: Routledge/Taylor & Francis Online
  • Wafula, Richard Makhanu; Lukorito Wanjala “Lacanian Psychoanalysis and Reading Athol Fugard’s The Blood Knot”, Journal of Social Science 49 (1,2): 175-182- (2016), New Delhi: Kamla Raj.
  • Muusya, Justus; Kitula King’ei; Wafula, Richard Makhanu. “Uhusiano Kati ya Asasi ya Familia na Uongozi wa Jamii Katika Riwaya za Kiswahili: Dunia Yao ( Mohamed 2006) na Kidagaa Kimemwozea ( Walibora 2012), Eastern African Journal of Contemporary Research, Vol. 1, Issue January 2019
  • Mucee, Franklin; Kinge’i Geoffrey; Wafula Richard Makhanu. “ Mbinu ya Ubunilizi wa Kisayansi Katika Riwaya: Bin-Adamu! (K.W. Wamitila) na Babu Alipofufuka ( S.A. Mohamed), International Academic Journal of Social Sciences and Education( IAJSSE)/Special Issue , November 2018 (1-38)
  • Wafula, Richard Makhanu.“ Uainisho wa Methali” Forum: Journal of the Writers’ Association of Kenya. Nairobi: Writers’ Association of Kenya, 1993.

Prof. Peter Githinji

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21

MODNS2_CREATED 29 November 2021

Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne...

WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

MODNS2_CREATED 06 July 2021

>>>>>DOWNLOAD WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

Go to Top
Template by JoomlaShine